Mwili wa makamo wapatikana katika hali tatanishi , Kivukio cha Nyali.
Mwili wa mwanamume mwenye umri wa makamo umepatikana katika kivuko cha nyali hapa Mombasa mapema leo katika hali ya kutatanisha.
Kulingana na walioshuhudia tikio hilo wanasema kuwa huwenda mwili wa jamaa huyo ulizama majini muda mrefu kutokana na athari zilizoonenakana katika mwil huo
Hata hivyo uchunguzi unafanya kubaini chanzo cha kifo hicho.