HUMU NCHINI
Kileo kilicho na sumu cha wauwa watu wawili katika kaunti ya kirinyaga.
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kunywa kileo kilichokuwa na sumu katika eneo la Kiyawakara kaunti ya Kirinyaga mapema hii leo. Posted On 25 Mar 2015 0
Wazazi watiwa mbaroni kwa kumuozesha mwanao wa miaka 8 kaunti ya Embu.
watu wawili ambao ni mume na mke wake wanazuliwa katika kituo kimoja cha Polisi eneo la Runyenjes Kaunti ya Embu kwa madai ya kumuoza mtoto wao Posted On 25 Mar 2015 0
Baraza la wazee la wamasaikuonya dhidi ya uzaji wa ardhi.
Wazee katika baraza la jamii la wamasai kaunti ya Narok , wametaka tume ya ardhi nchini pamoja na wizara ya ardhi washirikiane na baraza hilo Posted On 25 Mar 2015 0
Abiria watatu wafariki katika ajali ya barabara eneo la Kakamega.
Abiria 3 wamepoteza maisha huku mwengine mmoja akiachwa na majeraha baada ya kuhusika katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika Posted On 23 Mar 2015 0
Mbunge wa Changamwe kushughulikia kufidiwa kwa waathiriwa wa ujenzi mpya wa reli.
Mbunge wa eneo la changamwe Omar Mwinyi na washikadau wa reli mpya inayotaka kujengwa wamejadiliana jinsi watakavyo fidia waathiriwa wa ujenzi Posted On 23 Mar 2015
KIMATAIFA
Wabunge wa Sudan Kusini wapitisha mswada wa kyuongezewa uongozi rais.
Wabunge nchini Sudan Kusini wamepitisha mswada wa kuongeza muda wa uongozi wa rais Salva Kiir na bunge hilo kwa miaka mitatu zaidi kuanzia Julai Posted On 25 Mar 2015 0
Mwanajeshi mmoja auawa katika shambulizi la bomu nchini Tunisia.
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la Tunisia auawa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya bomu kulepuka katika mpaka wa nchi hiyo na Algeria. Msemaji wa Posted On 23 Mar 2015 0
EBOLA BADO TISHIO.
Mashirika ya utowaji wa misaada wametoa tishio la kuendelea kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika ,hii ni baada ya visa kadha vya Posted On 23 Mar 2015 0
Zaidi ya watu mia moja na kumi wameuawa kwa shambulizi la Yemen.
Zaidi ya watu mia moja na kumi wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya watu wa kujitolea muhanga kujilipua misikitini nchini Yemen wakati Posted On 20 Mar 2015 0
Muungano waundwa kumpinga rais Alassane katika uchaguzi ujao.
Hatimae Vyama vya upinzani nchini ivory coast pamoja na vile vinavyo unga mkono serikali iliyo madarakani vimeunda muungano utakao mpinga rais Posted On 20 Mar 2015
BIASHARA
Ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa
Na katika ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa hii leo ni : MELI YA MIZIGO : HANSA AMERICA, MARIE DELMAS MICHAELA S. Posted On 25 Mar 2015 0
Mikakati ya kudumu ili kudhibiti shilingi ya Kenya
Wito umetolewa kwa serikali kuweka mikakati ya kudumu ili kudhibiti shilingi ya Kenya dhidi ya sarafu za kigeni. Mtaalamu wa maswala ya uchumi Posted On 23 Mar 2015 0
Ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa
Na katika ratiba ya meli zinazotarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa hii leo ni : MELI YA MIZIGO : CMA CGM KAILAS. MELI YA MIZIGO NA MAGARI Posted On 23 Mar 2015 0
Ratiba ya meli zinazo tarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa.
Na katika ratiba ya meli zinazo tarajiwa kuwasili katika Bandari ya Mombasa hii leo ni : MELI YA MIZIGO : OSAKA TRADER. MELI YA MIZIGO NA MAGARI Posted On 20 Mar 2015 0
Bei ya mafuta kudhibitiwa.
Bei ya mafuta ulimwenguni imeweza kudhibitiwa hii leo na kupatikana kwa Dola 54 kwa pipa moja.Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia mmoja kutoka Posted On 17 Mar 2015
MICHEZO
Vilabu vya mchezo wa Voliboli upande wa Kinadada Pipeline na KCB vimewasili jijini Cairi nchini Misri tayari kwa mashindano ya Vilabu
Vilabu vya mchezo wa Voliboli upande wa Kinadada Pipeline na KCB vimewasili jijini Cairi nchini Misri tayari kwa mashindano ya Vila Posted On 25 Mar 2015 0
Ligi Kuu ya Misri kuendelea baada ya kusitishwa kutokana na vifo vya mashabiki..
Ligi kuu nchini misri inatarajiwa kuendelea tarehe 30 mwezi huu baada ya kusimamishwa kwa mda kutokana vurumai lililosababisha mauwaji ya Posted On 19 Mar 2015 0
Felix Ochieng achagua kikosi cha Raga 7 kila Upande..
Mkufunzi wa Timu ya Taifa katika mchezo wa Raga 7 kila upande Felix Ochieng amekitaja kikosi cha Timu hiyo kitakachoshiriki katika Msururu wa Posted On 19 Mar 2015 0
IVORY COAST NDIO MABINGWA WA KOMBE LA BARA LA AFRIKA MWAKA 2015.
Ni dahiri shahiri kwamba Taifa la Ivory Coast ndio mabingwa wa Kombe la Bara la Afrika mwaka 2015 baada ya kuwalaza Ghana 9-8 kupitia mikwaju ya Posted On 09 Feb 2015 0
Dirisha dogo la uhuamisho lafungwa.
Hatiamye dirisha dogo la Usajili limefungwa na vilabu mbali mbali vimefanya usajili wa aina yake… Miongoni mwa wachezaji ambao wamejiunga na Posted On 03 Feb 2015