1. Kauli yako, Kila siku, Kuanzia 6:00 am hadi 10:00am.
2. Farashani: Jumatatu hadi Alhamisi, kuanzia 10:00am hadi 12:00pm.
3. Mv Salaam: Juma tatu hadi Alhamisi, kuanzia 12:00pm hadi 2:00pm.
4. Somali hour: Kila siku kuanzia 3:00pm hadi 4:00pm.
5. Uteo: Kila Jumatatu hadi Ijumaa 4:00pm hadi 6:00pm.
6. Jukwaa wazi: Jumatatu hadi Alhamisi kuanzia 10:00 hadi 12:00am.
7. Kongamano, Jumatatu na Jumatano, 8:30pm hadi 10:00pm.
8. Bustani la wanawake KilaJumamosi, kuanzia 10:00 am hadi 11:00am.
9. Viwanja na wachezaji: Kila Jumamosi kuanzia 4:00pm hadi 6:00pm.
10. Ukwasi wa Kiswahili: Jumapili, Kuanzia 2:00pm hadi 3:00pm.
11. Jarida la Watoto: Kila jumapili 5:00pm hadi 6:00pm.