JE LEO TUNASHEREKEA NN ?
Tarehe moja desemba watu ulimwenguni huungana kuadhimisha siku ya ukimwi duniani
*aidha kwa kutumia dawa za virusi hivyo (arvs) mtu mwenye viini vya virusi hivyo unaeza kuishi kwa muda mrefu ipasavyo ukizingatiwa maagizo inayotoka kwa wizara ya afya.
Unyanyapaa inazidi kusheheni hususan katika nchi zinazochipuka kimaendeleo huku wengine wakichukulia kuwa kupatikana na virusi vinavyosababisha ukimwi ni laana.
Wanawake wako katika hatari ya kuambukizwa virusi hivyo kutokana na jamii zilizoko na tamaduni potovu ikiwemo ngono bila kinga,ukeketaji kwa wanawake kutumia kifaa kimoja.
Kenya ingali mbioni kuzuia msambao wa virusi hivyo huku twakimu zikitueleza kuwa takriban watu millioni 38 wanaishi na virusi zaidi ya milioni 35 wamepoteza uhai dhidi ya virusi ambayo ndiyo takwimu ya juu kushuhudiwa.
Umuhimu wa siku hii
*inapatia watu uhuru wa kushikana na kukabiliana na virusi vya ukimwi
*kuonyesha ushirikiano baina ya watu wenye virusi na wasio na virusi
Kuwaleta karibu walioathirika na virusi hivyo
Je ni shida gani wanazopitia waathiriwa hao .
* ni wakati mgumu mtu akijua anaenda kuishi na virusi vya ukimwi katika maisha yake yote , moyo unajawa na hofu uwoga hata hasira .
*aidha hii inakuja pale ambapo dunia haija kubali watu wanao ugua ugonjwa wa ukimwi katika jamii.
*mwisho kabisa mtu mwenye viini hivi vya ukimwi wanataka uangalizi wahali ya juu zaidi hususan katika umezaji wa madawa na lishe bora zaidi nahili ni jambo mhimu hata madaktari wanalisisitizia hili kwa umakini kabisa .
*aidha kenya imechukuwa nafasi ya kwanza ikiongoza na asilimia 1.6 million watu wanaoishi na ukimwi ukilinganisha na mwaka 2018.
*katika mwezi huo huotakriban watu 25000 walipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo , watoto 660,000 wali ripotiwa kuwa mayatima kwakutokana na virusi hivyo.
Manufaa kutoka kwa serikali .
*serikali imeweza kuleta ukingaji kutoka kwa mama hadi mtoto kwa kutumia chanjo ya (pmtct)
*kujitolea kwa kutairiwa kwa wanaume (vmmc)
*kutoa hamasisho na elimu hususan katika shule na kubuni hatua muhimu za kuukabili msambao.
*serikali ya kenya imeweza kutoa vifaa vinavyokinga msambao wa virusi lakini hata hivyo ongezeko linazidi kushuhudiwa kila mwaka baada ya mwaka .