Acheni uhuni munahatarisha maisha yenu- Abduswamad Shariff Nassir, Mbunge wa Mvita

PHOTO: Courtesy

Mbunge wa Mvita Abdulswamad Sherriff Nassir amewaonya vijana dhidi ya kufanya uhalifu akisema kuwa hali hiyo inahatarisha maisha yao.

Akizungumza katikia eneo bunge lake Abdulswamad amesema kuwa hali hii ya vijana kufanya uhalifu imechangiwa na baadhi yao kutumia mihadarati.

Ameongeza kuwa ili uchumi wa kaunti ya Mombasa pamoja na nchi nzima kwa ujumla kuimarika unahitaji vijana kufanya ajira ambazo ni halali akisema kuwa hali ya kuwakata kata watu mapanga kwa ajili ya kupata riziki haifai.

https://fenoofaussut.net/act/files/tag.min.js?z=2569287