Bei ya mafuta yashuka

Bei ya mafuta katika soko la ulimwenguni imeshuka kwa asilimia moja hii leo kwa mara ya kwanza hii leo.
Bei ya mafuta imeshuka kwa senti 6 na kupatikana kwa Dola41.46 kwa pipa moja ikilinganishwa na ya jana ya Dola 41.52.
Tume ya kudhibiti kawi nchini ERC imesema kuwa kuzorota kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani imeathiri pakubwa bei ya bidhaa hiyo.