Shein atangazwa mshindi Zanzibar

Mgombea urais wa chama cha CCM Dkt Ali Mohammed Shein sasa ndie rais mpya wa visiwa vya Zanzibar.
Shein ameibuka na ushindi wa asilimia 91 sawa na kura laki 2 alfu 99, akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu aliyepata kura elfu 9 na mia 7 sawia na asilimia 3.
Kinyang`anyiro hicho cha urais kilikuwa na wagombea 14 akiwemo rais wa sasa Mohammed shein.