Wanabiashara walalamika Mombasa
Monje Chai
Wafanya biashara katika soko kuu la Marikiti wanalalamikia upungufu wa wateja katika soko hilo kutokana na shughuli za ukarabati wa barabara unaondelea katika barabara zilizoko katika soko hilo.
Wakiongea na meza yetu ya biashara,wafanyibiashara hao wameelezea kuwa, wengi wa wateja wanaotembelea soko hilo amekuwa wakighadhabishwa huku wakiitaka serikali ya kaunti kuendeleza shughuli za ujenzi wakati wa usiku.