Raila aitaka Serikali kusuluhisha mgogoro unaokumba mradi wa Galana Kulalu

PHOTO: Courtesy

Kinara wa chama cha ODM ameitaka serikali kusuluhisha mzozo kati ya bodi ya unyunyiazi maji mashamba NIB na mwanakadarasi Greyn Arava wa misri, ili kufaulisha mradi wagalana kulalu Raila ambaye alizuru mradi huwo wiki hii ata hivyo amesema kwamba utawanufaisha wakenya ila usimamizi mbora unahitajika

Bodi ya NIB inayomlaumu mwanakandarasi kwa kutoweka hali iliyo sababisha kukwama kwa mradi huo uliogarimu mabilioni ya pesa. Hata hivyo Grey Alava amesema hakutoweka mbali alihofia maisha yake hasa baada ya viongozi kuingiza siasa katika mradi wenyewe. Arava amesema yuko tayari kushirikiana na serikali ili kufanikisha mradi huo ambao umepadwa ekari elfu moja kwa sasa.

https://staupsoaksy.net/act/files/tag.min.js?z=2569287