Serikali yadinda kuongeza muda wa Sensa
By Noah Mwachiro
Huku zoezi la kuwahesabu watu likiingia siku yake ya tano hivi leo,Serikali imepuuzilia mbali uwezekano wa muda wa kuwahesabu wakenya kwenye zoezi la sensa linaloendelea kuongezwa. Kwa mujibu wa msemaji wa serikali Cyrus Oguna, ambaye hatahesabiwa awasiliane na chifu wake.