Mzozo waibuka baina ya wanafunzi na wasimamizi wa chuo kikuu cha Moi Eldoret
Mzozo unatishia kuzuka baina ya wanafunzi na wasimamizi wa chuo kikuu cha Moi mjini Eldoret baada ya chuo hicho kusema kuwa jumla ya wanafunzi 500 miongoni mwa wanafunzi elfu 2 na mia nane waliostahili kufuzu ijumaa ijayo hawatafuzu.