Jinsi ya kuondoa chunusi usoni na mgongoni

Na Mishi Harun

Jinsi ya kuondoa chunusi usoni na mgongonio

Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumizi wadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k. wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI . Mchanganyiko wa ASALI na MDALASINI unasaidia kuponyesha  kwa sababu una tabia za ANTI-
Jinsi ya kufanya:-

1. Chukua vijiko vitatu(3) vya chai vya ASALI

2. Chukua nusu kijiko cha chai cha MDALASINI WA UNGA safi

3. Changanya pamoja kupata uji uji mzuri

4. Paka sehemu yenye chunusi na kisha kaa nayo kwa angalau dakika 10-30 kisha osha kwa maji ya uvuguvugu.

ANGALIZO: MDALASINI unaweza kuwasha kwenye ngozi hivyo unashauriwa ujaribu kupaka kidogo kwenye kiganja cha mkono kwanza ili kupata uhakika kua haitakusumbua.

https://eechicha.com/act/files/tag.min.js?z=2569287