Saratani ya mlango wa kizazi
Licha ya mzigo wa kutibu saratani kuonekana kuongezeka kila uchao ulimwenguni ,mataifa yaliyo na uchumi wa wastani na yale ya uchumi wa chini yanaonekana kubuni mifumo ya kiafya ili kuhakikisha gonjwa la saratani linazikwa katika kaburi la sahau .
Katika mataifa yaliyo endelea ya naimarisha mifumo thabiti ya kiafya na matumaini ya kuishi kwa wagonjwa wa saratani yikionekana kuimarika kufuatia uchunguzi wa mapema na matibabu bora na kama njia moja ya kuipiga fagio saratani ya mlango wa ki
zazi kama tatizo la umma mataifa ya meshauria kutoa uchunguzi na matibabu ya mapema.
Taifa la kenya ni miungoni mwa mataifa ya lionzisha majaribio ya chanjo ya HPV mwaka 2013-2015 katika kaunti ya kitui ukiwapa wakenya matumaini ya kuangamizwa kwa janga hilo katika siku za usoni.