Okumbi akitaja kikosi kitakachoshiriki katika michuano ya kufuzu katika kombe la bara Afrika

286075_heroa

Kocha wa timu ya taifa upande wa soka Harambee Stars Stanley Okumbi amekitaja kikosi chake kitakachoshiriki katika mchuano wa kufuzu katika kombe la bara la Afrika dhidi ya Guiinea Bissau.

Harambe Stars ambao wako katika kundi E watasafiri watachuana na Bisau tarehe 23 mwezi machi kabla ya kurudi nyumbani katika mechi ya marudio siku nne baadae.

Katika kikosi hicho Okumbi  amewataja wachezaji 9 wanaochezea kabumbu ya kulipwa  mataifa ya nje wakiongozwa na mchezaji Victor Wanyama wa Southampton  wachezaji wa Zambia ,Anthony Akumu , Jesse Were na  David Owino , wengine wakiwa Ayub Timbe, Brian Mandela , Paul Were and Johanna Omollo.

Kikosi kamili

Goalkeepers: Arnold Origi (Lillestrom, Norway), Boniface Oluoch (Gor Mahia), Lucas Indeche (AFC Leopards) and Ian Otieno (Posta Rangers)

Defenders: Harun Shakava, Musa Mohammed (Gor Mahia), Brian Birgen, Omar Mbongi (Ulinzi), Shariff Mohammed (Bandari), David Owino (Zesco), James Situma (Tusker ), Eugene Ochieng (Sony Sugar), Joseph Okumu (Chemelil) and Brian Mandela (Maritzburg United)

Midfielders: Victor Wanyama (Southampton FC), Johanna Omollo (Antwerp), Ayub Timbe (Lierse), Anthony Akumu (Zesco)  Collins Okoth, Francis Kahata (Gor Mahia), Patillah Omotto (Kariobangi Sharks), Johannah Erick, Roy Syamba (Mathare United), Clifton Miheso, Simon Abuko (AFC Leopards), Anthony Kimani, Shaban Kenga, David Kingatua (Bandari FC),

Strikers: Jesse Were (Zesco Zambia), Paul Were (FC Kalloni), Michael Olunga (IF Djugardens), Aziz Okaka (Ushuru FC), Timothy Otieno (Posta Rangers), Ovella Ochieng (Kariobangi Sharks), Nicholas Kipkurui (Zoo Kericho).