vijana elfu 3 Kwale wanufaika na mradi wa kazi mtaani.
Zaidi ya vijana elfu 3 katika sehemu mbali mbali kaunti ya Kwale watanufaika na mradi wa kazi mtaani.
Kulingana na kamisha wa kaunti hiyo Karungu Ngumo, awamu ya pili ya mradi huo itatekelezwa kwa zamu ya baada ya wiki mbili.
Hata hivyo ameweka wazi kuwa malipo ya vijana hao yamepunguza kuwawezesha vijana wengi kunufaika na mpango huo.
Popoo