Viongozi wa Rift Valley walaumu upande wa upinzani kuwa na njama ya kuyumbisha serikali

UAsin Gishu county assembly speaker-isaac-kipkemei-terer

Viongozi wa Rift Valley wamesema kuwa,mrengo wa upinzani una njama ya kuyumbisha serikali ya Jubilee na umoja wa nchi kwa kushinikiza uamuzi wa kesi ya urais ya mwaka 2013 irejelewe tena na mahakama ya juu zaidi nchini.

Wakiongozwa na spika wa bunge la Uasin Gishu Isaac Terer na kiongozi wa wengi katika bunge hilo Josphat Lowoi wamepuuzilia mbali njama za mrengo huo na kuwataka wakenya kutogawanyika kwa misingi yeyote huku Taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu mwaka ujao.

https://vaugroar.com/act/files/tag.min.js?z=2569287