Maskwota katika shamba la Sirikwa wamtaka jaji anaesikiliza kesi yao kujiondoa

download (12)

Maskwota katika shamba la Sirikwa mjini Eldoret wamelalamikia utepetevu wa kuamuliwa kwa kesi yao katika mahakama kuu mjini Eldoret miaka minne sasa na kutaka jaji Cicilia Githua anayesikiza kesi hiyo kujiondoa.

Wakiwakilishwa na wakili wao William Kipkorir maskuota hao wamemtaka jaji mkuu Willy Mutunga kubuni jopo la majaji watatu kuamua kesi yao dhidi ya mwanasiasa mkongwe Mack Too.

https://tobaltoyon.com/act/files/tag.min.js?z=2569287