Wafanyibiashara wa Kajiado watoa wito kwa Gavana wao kuwafuta kazi maafisa wafisadi

download

Wafanyibiashara katika kaunti ya Kajiado wamemtaka Gavana wa kaunti hiyo David Nkandianye kuwafuta kazi maafisa wa serikali ambao ni wafisadi.

Wakiongea katika mkutano na Gavana huyo wafanyikazi hao wamesema kuwa maafisa hao wamekuwa wakifunga biashara zao baada ya kukataa kutoa hongo hali ambayo inapelekea wengi wao kuhamia kaunti jirani.

Hatua hii inajiri baada ya soko kuu katika eneo hilo kufungwa hivi majuzi baada ya hali ya mazingira katika eneo hilo kudorora.

https://tobaltoyon.com/act/files/tag.min.js?z=2569287