Rais afanya kikao cha kuboresha ushirikiano wa kibiashara

944055_1215614668467084_2302446591825368611_n
Rais Uhuru Kenyatta kwa amefanya kikao na rais wa Nigeria Muhamadu Buhari katika Ikulu yake jijini Nairobi.
Kikao hicho kinalenga kujadili jinsi ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizi mbili.
Viongozi hao vileile wanatarajiwa kushiriki katika kongamano la kibiashara litakalofanyika katika hoteli moja jijini Nairobi.
Baada ya ziara yake ya siku tatu kukamilika hapo kesho rais wa Nigeria Muhamed Buhari, ataelekea nchini Ethiopia katika kongamanao la 26 la viongozi wa bara la Afrika la wanachama wa muungano wa Afrika AU. 
https://stootsou.net/act/files/tag.min.js?z=2569287