Raila ataka uchanguzi zaidi kufanywa dhidi ya sakata ya Eurobond

download (1)

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesistiza kuwa fedha za mkopo wa Eurobond zimehifadhiwa kwenye akaunti za kibinafsi.

Raila amesema kuwa sakata ya Eurobond ni sakata kubwa zaidi ya ufisadi kuwahi kushuhudiwa na kutaka uchunguzi zaidi kufanywa kuhusu sakata hiyo.

Itakumbukwa kuwa kinara huyo wa muungano wa Cord amekuwa akiitisha kusimamishwa kazi kwa waziri wa fedha Henry Rotich kwa madai kuwa wizara yake imetumia visivyo fedha hizo.

https://stootsou.net/act/files/tag.min.js?z=2569287