KNUT yaitaka serikali kuzingatia mahitaji ya walimu

download

Wadau katika sekta ya elimu wameitaka serikali ya kitaifa kutathmini mahitaji ya walimu ili kuimarisha viwango vya elimu.

Katika taarifa ya pamoja iliyosomwa na katibu mkuu wa chama cha walimu nchini KNUT Wilison Sossion wamesema kuwa ikiwa serikali itachukua jukumu hilo, basi itahakikisha kila mmoja anapata elimu bora.

Haya yanajiri baada ya madai kwamba baadhi ya shule za umma zinawaajiri walimu ambao hawahitimu swala ambalo linaathiri viwango vya elimu.

https://stootsou.net/act/files/tag.min.js?z=2569287