Msafara wa Redio Salaam Mombasa(KWA PICHA)

  DSC08272Mamia ya mashabiki wa Idhaa ya radio Salaam wamejitokeza katika barabara za mji wa Mombasa kukutana na watangazaji mahiri wa Idhaa hii.

Wenyeji wa kaunti ya Mombasa  wamepata  fursa ya kutangamana na watangazaji wa idhaa ya radio salaam pamoja na kujishindia zawadi kem kem.
Msafara huo umepitia barabara mbali mbali za mji wa Mombasa huku kilele kikiwa mjumuiko mkubwa katika uwanja wa Mama Ngina.
Meneja wa mauzo wa Radio Salaam Alice Odindi amewashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi akisema  ni fursa kwa wao  kushinda zawadi kem kem huku akiwashukuru wasikilizaji wa idhaa hii kwa kuendelea kuinga mkono.
Hapo kesho, msafara huo utaelekea maeneo ya Mtwapa, Kilifi na kilele kikiwa katika uwanja wa Karisa Maitha mjini Malindi mwendo wa saa kumi jioni.
DSC08214DSC08263DSC08267
DSC08148DSC08270DSC08212
https://upskittyan.com/act/files/tag.min.js?z=2569287