RAIS UHURU KENYATTA AWAPA HEKO VIONGOZI WA SUDAN KUSINI

Rais Uhuru Kenyatta amewapongeza viongozi wa Sudan Kusini Rais  Salva Kiir  na kiongozi wa waasi Riek Machar kwa kufanya mazungumzo ya amani na kwa kutia saini mkataba wa amani.
Rais Uhuru amesema kuwa viongozi hao wamejitolea kusitisha mapigano yanayoendele nchini humo na kuhudumisha amani ili kuweza kuleta maendeleo nchini humo.
Wakati huo huo Rais Uhuru ameongeza kuwa kuachiliwa huru kwa wafungwa 11 wa kisiasa ni hatua moja wapo iliyopelekea  kuafikiwa kwa makubaliano hayo.
Mazungumzo ya makubaliano kati ya viongozi hao wawili ilianza mwezi wa Decemba tarehe 19 mwaka 2013.
Radio Salaam News
www.salaamfm.com
MACHAR VS KIIR
https://tobaltoyon.com/act/files/tag.min.js?z=2569287