Afisa wa Polisi ajitoa uhai Nairobi

Afisa mmoja wa polisi katika kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Amajitoa uhai katika njia za kutatanisha.

Mwili wa afisa huyo umepatikana nyumbani kwake akiwa ameJitia kitanzi  mapema leo.

Afisa mkuu wa jinai katika nkituo cha Central hata hivyo amesema kuwa mwendazakeElisha Kelly,  alikuwa na maradhi ya sukari.

Mwanawe mwendazake Denis Kelly, ameiambia polisi kuwa babake na mamake wamekuwa wakizozana katika ziku za hivi punde.

Mwili wake umehifadhiwa katika hifadhi ya maiti ya City.

https://itweepinbelltor.com/act/files/tag.min.js?z=2569287