Rais Kenyatta kufanya ziara rasmi Qatar
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini Qatar kuanzia jumatatu ambapo…
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini Qatar kuanzia jumatatu ambapo…
Mahakama kuu ya Kerugoya imemregesha mamlakani gavana wa Embu aliyetimiliwa Martin Wambora. Majaji Boaz Olao,…
Mzozo wa kupimana ubabe kati ya wabunge na idara ya mahakama umeendelea kutokota baada ya…
Zaidi ya watu 50 wamenaswa na maafisa wa usalama katika kaunti ya Mombasa usiku wa…
Shughuli katika soko la Marikiti jijini Nairobi zimetatizwa jumanne asubuhi, baada ya wachuuzi wa bidhaa…
Naibu rais William Ruto amejitenga na matamshi yaliyotolewa na kiongozi wa walio wengi katika bunge…
Hatimaye Mtoto Satrin Osinya ametolewa hospitalini leo baada ya kufanyiwa upasuaji yapata majuma mawili yaliyopita…
Bodi ya kitaifa ya utalii nchini imesema kuwa idadi ya watalii wanaozuru humu nchini imepungua…
Chama cha ODM sasa kinamtaka Rais Uhuru Kenyatta kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani…
Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu imeikosoa hatua ya inspecta generali wa polisi…