Wanahabari 2 wakigeni watiwa mbaroni Burundi

Part-PAR-Par8161235-1-1-0

Wanahabari wawili wa kigeni kuzuiliwa na maafisa wa polisi mjini Bujumbura.

Wawili hao walikamatwa jana jioni,na ripoti zinasema kuwa maafisa wa polisi wanawatuhumu kuwa majasusi.

Naibu msemaji wa polisi nchini Burundi,Moise Nkurunziza amesema walikamatwa wakiwa miongoni mwa kundi la wahalifu.

Hadi sasa polisi bado hawajasema watashtakiwa kwa makosa gani na hatua itakayochukuliwa dhidi yao.

https://pertawee.net/pfe/current/tag.min.js?z=2569287