Arsenal yashinda Rufaa…
Klabu ya Arsenal wameshinda Rufaa didhi ya difenda wao Karen Gibbs baada ya Kupewa kadi nyekundu kimakosa na muamuzi wa mechi yao didhi ya Chelsea.
Shirikisho la Soka Nchini humo FA limesema kuwa hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa Didhi ya Olex Chamberlyn amabaye alisababisha Faulu hiyo na kadi kumuangukia Difenda Gibbs.
Hata hivyo shikisho hilo limesema kuwa hakuna hatua zozote za kinidhamu zitakazochukuliwa didhi ya Mwamuzi wa mechi hiyo Andre Marriner na badala yake atachezesha mechi kati ya Southmton na vijana wa Newcastle siku ya Jumamosi.
Arsenal waliweza kuzabwa magoli 6 kwa Sufuri na Vijana wa Vijana wa Jose morinyo Chelsea.