Mechi tatu kuchezwa Leo nchini Uingereza……

Ligi kuu nchini Uingereza inatarajiwa kuendelea hii leo huku mechi Tatu zikiwa zimeratibiwa kuchezwa….

Mechi ya kukata na Shoka Itakua kati  ya vijana wa Moyes Manchester United watakapo wakaribisha Jirani zao Manchester City.

City watakua wakitafuta nafasi ya uongozi wa Ligi hiyo huku United wakitafuta nafasi ya kupanda katika nne Bora.

Mancity  ni watatu katika msimamo wa Ligi hiyo kwa alama 63 wakiwa wamecheza mechi 28,huku Man U wakishikilia nafasi ya 7 wakiwa na alama 51 baada ya kucheza mechi 30.

Mechi nyengine zitakazochezw ni kati ya Arsenal na Swansea ambapo Vijana hao wa Wenger watalazimika kusahau masaibu waliyopitia baada ya kichapo cha mabao 6 kwa Nunge..

Huku Newcastle wakiwaalika vijana wa Everton katika Uga wa St James Park.

Tuesday 25 March 2014

 

Arsenal

v

Swansea City Emirates Stadium

21:45

Manchester United

v

Manchester City Old Trafford

21:45

Newcastle United

v

Everton St. James’ Park

21:45

 

 

 

 

 

 

 

https://vaugroar.com/act/files/tag.min.js?z=2569287