Donda Ndugu la Mwanamke.
Takribani asilimia 70 ya Maambukizi ya PID yaani Pelvic Iflammatory Disease nchini yanasababishwa na ngono zembe kote. Wataalam wa maradhi hayo wanadai kwamba visa hivyo huwa havijulikani na havina dalili mwafaka.
Kulingana na Data ya mwaka wa 2014 na 2015 inaonyesha kwamba asilimia 7 kutoka kaunti ya Mombasa wameathirika baada ya sampoli 456 kufanyiwa utafiti huku wasichana wa sekondari na vyuo wakiwa waathiriwa Zaidi.
Sikiliza Makala haya maalum yaliyoandaliwa na MISHI HARUN kwa jina DONDA NDUGU LA MWANAMKE kufahamu Zaidi kuhusu maambukizi ya PID Pelvic Infammatory Disease.