Wadau wa Uchukuzi Wakashifu Marufuku Iliyowekwa na KEBS

Sheria mpya kutoka mamlaka yakutathmani bidhaa (KEBS)yakupunguza miaka yakuagiza magari makuu kuu ya masafa marefu yapingwa vikali na vuguvugu la First Action nakuitaja hatua hiyo yakumkandamiza dereva wa lori  nakuinua sekta ya SGR.

Kulingana na mwanaharakati wa vuguvugu hilo Murshid Abdallah kuidhinishwa kwa sheria hiyo kutawafanya mamia ya wawekezaji kuhamisha biashara zao humu nchini hali itakayopunguza ushuru wa nchi pamoja nakuchangia ukosefu wa ajira.

Aidha wametoa wito Kwa wabunge walio madarakani kuwasilisha suala Hilo bungeni na kuhakikisha suluhu inapatikana.

https://omoonsih.net/pfe/current/tag.min.js?z=2569287