Nuru gizani

stop drug addiction no drugs addict cocaine heroin crack christal meth graffiti on red brick wall, text and hand

Makala ya Nuru Gizani yanazungumzia jinsi mihadarati ilivyoweza kuathiri wakaazi wa pwani kwa kiwango kikubwa,ila licha ya athari hiyo wapo watu ambao wameweza kujitoa kwenye utumiaji wa mihadarati na kurudi mtaani kuiokoa jamii.

Watu ambao wamekuwa kielelezo chema licha ya kutwezwa na masimangu waliyaepuka na kuyapuuza wakiamini kuwa mui huwa mwema na kuwa na nafasi tena ya kuongoza jamii.

Jamii mara nyingi hulegea kimalezi na mwisho kuacha vijana ambao ndio tegemeo la kesho kujiingiza katika mambo yasiokubalika na jamii.

Mashirika ya kupambana na mihadarati yamekuwa kipaumbele kuwapa nafasi watu waliamua kujitoa kwenye utumiaji wa mihadarati na kuwa kielelezo chema kwa jamii kwa kuwapa mafunzo yatakayo waokoa vijana.

https://yonhelioliskor.com/pfe/current/tag.min.js?z=2569287