Athari ya kukimbia karantini

Karibu katika tamthilia hii ya Radio Salaam, ni kisa ambacho kinaeleza mafunzo ya korona,hatari ya kukimbia kuarantine.

Kutokana na habasi zisizokuwa za ukweli kuhusu ugonjwa wa corona inamfanya mwanamume mmoja kuhatarisha maisha ya familia yake hata kufikia kumpoteza baba na mama yake kutokana na ugonjwa wa corona kwa kuogopa kupelekwa karantini.

https://glimtors.net/pfe/current/tag.min.js?z=2569287