KENGA KUMALIZA TATIZO LA MAJI AKICHAGULIWA MBUNGE GANZE.

 

Huku taifa likielekea kwa uchaguzi mkuu mwezi agosti mwaka huu ,viongozi wa ganze kaunti ya kilifi wamelaumiwa kwa kuzembea kazini.

Akiongea na wanahabari mgombea wa kiti cha ubunge wa eneo hilo Anderson Kenga ,amemtaka mbunge wa Ganze Teddy Mwambire kuwaelezea wakaazi wa eneo hilo ni vipi fedha za maendeleo bunge zimekuwa zikitumika wakati bado eneo hilo linakumbwa na uhaba wa maji na baa la njaa.

Insert maji…Kenga.

Aidha  amewaahidi kuwajengea mabwawa ya kuhifadhi maji eneo hilo ili kuyamaliza matatizo ya maji, wakimchagua mbunge mwaka huu.

Insert…mabwawa.