KINADADA MOTONI

Depression, drug abuse and addiction people concept.

Maelezo, Mukhtasari

Tupo katika ulimwengu karne ya 21 ila bado tunazidi kushuhudia ongezeko Zaidi la Watoto wa kike kutumbukia katika kaburi la mihadarati kwa kujijua au kutojua.

Kwa upande mwingine jamii inalifumbia macho tatizo hili  kwa kisingizia , “kuza mtoto wa kike.”

Makala haya yanaangazia Zaidi shida na changamoto wanazopitia kinadada walioathirika na janga la mihadarati ikilinganishwa na waume . Jamii imeonekana kuwatenga  kina dada hao haraka Zaidi ikilinganishwa na Watoto wa kiume kutokana na mila na tamaduni zetu Afrika.

Je, ni mikakati gani imewekwa kuwasaidia na kuhakikisha mtoto huyu anapewa huduma pasi na kuangazia jinsia?

Je, mtoto wa kike anaweza tibika kutokana na Donda hili la mihadarati? Nani atakaye mkinga mtoto huyu alioathirika kutokana na mvua kejeli na madhila ya jamii?

Hii ni Makala ya kina-dada Motoni .

https://pertawee.net/pfe/current/tag.min.js?z=2569287