huku serikali ikiendelea na mikakati ya kupambana na ukame nchini bado wakaazi wa silaloni huko eneo bunge la kinango kaunti ya kwale wanakumbwa na hatari ya kukumbwa na baa la njaa baada ya eneo hilo kukumbwa na ukame kwa mara nyingne.

licha ya mradi wa mabwawa kuendelea kaunti hiyo ,bado mradi huo unaonekana kutowafikia wakaazi wengi huku ukulima ukionekana jambo la bahati na sibu.

je ni vipi wakaazihawa watajinasua ?

Ungana naye Omar Mazera kwa makala ya zao la msimu.

https://rauvoaty.net/act/files/tag.min.js?z=2569287