Uwezo wa wenye uwezo Maalum

INSERT ASHA INTRO 2ND APRIL2021

Ni Asha Mgwisho mkaazi wa mwamambi kaunti ya Kwale eneo la Ukunda akielezea jinsi alivyokumbana na masaibu yanayomkumba hadi sasa baada yakuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani miaka 4 iliyopita nakupelekea kupoteza mguu wake mmoja,Asha analilia haki ya kulipwa fidia pamoja na mwanae

Asha Mgwisho alipoteza mguu wake katika ajali hiyo ila ulemavu huo haujamfanya kukata tamaa kimaisha, amekaidi ulemavu huo nakujituma katika vibarua tofauti licha ya ulemavu wake. Ajali hiyo ilitokea mwaka 2017 na kabla ajali hiyo alikuwa mtu na shughuli zake

Licha ya kuwa Asha aliamua kuendelea na shughuli za kawaida ili aweze kukidhi mahitaji ya mwanae lakini haikuwa rahisi kwake , kwa sasa anafanya biashara ya kuuza chakula ambapo anajitahidi awezavyo ili aweze kupata mapato

INSERT 

Baadhi ya wakaazi wa eneo hilo wanaomfahamu Asha wamemsifia kuwa mwanamke mwenye bidii,  shupavu na mwenye kujituma tofauti na wengine wenye miguu yao miwili, zaidi wamesema kuwa anapitia changamoto nyingi sana kando na kujituma kwake.

INSERT 

Aidha Asha angali bado anasubiri fidia yake na mwanaye, ameitaka serikali kumskiliza kilio chake kwa kuwa yeye ndiye mzazi pekee kwa mwanaye

INSERT 

https://ptirtika.com/pfe/current/tag.min.js?z=2569287