Tamthilia: ‘Chozi la Ngozi’

Tamthilia: Chozi la Ngozi

Ni tamthilia inayoangazia binti ‘Saumu’ aliyezaliwa na ulemavu wa ngozi.

Mama yake aliaga dunia punde alipozaliwa, na kulazimika kulelewa na shangazi yake.

Katika safari yake ya maisha anapitia manyanyaso, dhulma na ubaguzi; cha kuhuzunisha zaidi anapitia hayo yote yanayotekelezwa na watu wa karibu yake anaohusiana nao kidamu.

AISEE! Kama ulipitwa Fuatilia na ujifunze mengi kutokana na tamthilia hii ya kuatua moyo iliyowahi kwenda Hewani Januari 16 2020.

Sikiliza, share na wenzako

https://eechicha.com/pfe/current/tag.min.js?z=2569287