Sing’atuki mamlakani hadi 2020 asema Bashir

Rais wa Sudan Omar Al-Bashir amesema kuwa ataondoka madarakani mwaka 2020 muhula wake wa sasa utakapomalizika.

 Bashir amekuwa madarakani tangu 1989.

Bashir hata hivyo amekanusha tuhuma kwamba wanajeshi wake wamekuwa wakitekeleza dhulma kwenye vita vipya dhidi ya wanavijiji weusi katika eneo la Darfuf, magharibi mwa Sudan.