Juice ya Watermelon

Mahitaji
Watermelon 1
Maji ya ndimu vijiko 3
Asali kiasi(Inategemea na kiwango cha utamu unaopenda katika kinywaji chako)

Namna ya kutayarisha
Katakata watermelon vipande vidogo vidogo katika blender
Kisha mimina maji ya ndimu na asali usage.
Hakikisha imesagika vizuri alafu uichuje.
Sasa juice yako iko tayari.
Unaweza kuieka kwenye fridge au ukaongezea vidonge vya barafu wakati wa kunywa.
Nakutakia uandazi mwema.

https://eechicha.com/act/files/tag.min.js?z=2569287