"> Raia kutuma taarifa za visa vya ufisadi kupitia WhatsApp

Raia kutuma taarifa za visa vya ufisadi kupitia WhatsApp

rtr4tkzb_647_012316024135

Serikali imetoa nambari za mawasiliano kwa wakenya kuweza kutuma ushahidi au malalamishi yoyote kuhusu ufisadi katika idara ya usalama.

Unaweza kuwasiliana na waziri wa usalama wa kitaifa Joseph Nkaissery kupitia 0719777719 na katibu wa kudumu Karanja Kibicho kupitia 0780719750 kwa kutuma ujumbe mfupi au mtandao wa kijamii wa WhatsApp.

Hatua hii imechukuliwa siku chache baada ya rais Uhuru Kenyatta kuripoti kisa cha ufisadi dhidi ya maafisa wawili wa trafiki mjini Mombasa.

Katika miezi ya hivi maajuzi serikali imekuwa ikieka mikakati ya kumaliza donda sugu la ufisadi serikalini.

1 thought on “Raia kutuma taarifa za visa vya ufisadi kupitia WhatsApp

  1. Rais amefanya jambo la maana sana,kutaka fisa vya uhalifu viripogiwe,ila tunaomba,baada ya kuhamikishwa kua unalifu umetendeka,nivyema alie husika apawe adhabu inayo staili,tena bila upendeleo,aama ongo kutumika.

Comments are closed.