Wakaazi wa Mombasa wasusia huduma za Hospitali Kutokana na maradhi ya COVID-19

Wagonjwa wa COVID-19 wanaendelea kufurika idara za dharura katika Hospitali za Kaunti ya Mombasa,wakati wenzao wanaougua magonjwa mengine,wameanza kuepuka safari za hospitali na badala yake kukaa nyumbani, wengine  wakijitafutia njia mbadala za kujitibu, pasi na kufahamu hatari za kiafya zitakazowaandama.

Nilifanya utafiti wangu kubaini ukweli wa hali miongoni mwa wakaazi na idara ya afya ya umma katika kaunti ya Mombasa.

Hii hapa ni makala yenyewe.