Scrub ya Karafuu

Na Mishi Harun

Karafuu
Scrub ya karafuu

• Namna ya kutumia karafuu kusugua mwili(scrub).

• Unachukua karafuu kavu iliyosagwa ule unga unauchanganya na mafuta ya nazi na liwa halafu unasugua mwili mzima kuondoa uchafu.

• Kuanzia usoni,mwili wote na miguu unatoa uchafu wote.

• Karafuu ni dawa nzuri sana ya kuondoa uchovu au maumivu ya viungo kwani inapenya kabisa kwenye mwili.

• Sio tu kuscrub mwili hata kwa massage ni nzuri.